Featured
Loading...

MH RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHUUHUTUBIA MAMI YA WANANCHI WA TABORA JULAI 24,2017

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia yawananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira
wa Alli Hassani MwinyiJulai 23,2917.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia yawananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira
wa Alli Hassani MwinyiJulai 23,2917.

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wawili Hawa Wavishana Pete ya Uchumba; Wewe Wasubiri Nini?


















Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MADHARA YA NGONO KINYUME NA MAUMBILE

Hali ya dunia kwa sasa imekuwa si nzuri sana, ulimwengu unakoelekea sasa si kuzuri. Kwa anayechunguza zaidi mambo ya ulimwengu wa sasa unaweza omba Mungu akuondoe katika ulimwengu huu. Leo tuangazie siala sugu la mapenzi hasa ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Fuatilia baadhi ya madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile hapa (Ni mbaya sana usijaribu)
1. Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
2. Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.

3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.

4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.

5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.

6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako. Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile.


Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo. Lakini ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Music; HARMONIZE – KIDONDA CHANGU/ Download or Listen Here


Harmonize amekuwepo katika game kwa muda na kurekodi nyimbo kadhaa kabla hajanza kusikika kila kona. KIDONDA CHANGU ni wimbo aliyeurekodi kipindi cha nyuma kidogo lakini hukupata airplay ambao wimbo huu ulikuwa unastahili. Pakua wimbo hapa na ufurahie kipaji cha kijana huyu HARMONIZE.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Video: Harmonize - Aiyola. Kuwa wa Kwanza Kuitazama Hapa

Video ya wimbo wa Harmonize iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana sasa unaweza itia machoni pako moja kwa moja.
Harmonize ni miongoni mwa wasanii waliosaini lebo ya WCB Wasafi Records chini ya Diamond Platnumz. Video hii imefanywa mjini Jo'burg Afrika kusini na muongozaji Nick Roux
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI

bye1
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
bye2
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
bye4
  Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete   na mkewe mama Salma Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu alimoishi kama Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.   bye7
Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete   na mkewe mama Salma Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu walimoishi kama Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita. 
 Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo na watumishi wa Ofisi ya Rais wakiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho kikwete.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

PICHA KUTOKA UWANJA WA TAIFA KWENYE TUKIO LA KUAPISHWA KWA DK JOHN POMBE MAGUFULI...MAFURIKO BALAAH

 PICHA KUTOKA UWANJA WA TAIFA KWENYE TUKIO LA KUAPISHWA KWA DK JOHN POMBE MAGUFULI...MAFURIKO BALAAH

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MASANJA MKANDAMIZAJI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA KWA DEO FILIKUNJOMBE


Masanja Mkandamizaji MSANII maarufu na mwigizaji Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la (Masanja mkandamizaji) ameahidi kuvaa viatu vya Deo H. Filikunjombe kwa kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo la Ludewa na kusema ana uwezo mkubwa na kasi kama ya marehemu Filikunjombe ambaye alikuwa rafiki yake.

Ameyasema hayo alipokuja kuchukua fomu ya kugombea kupata ridhaa ya Chama cha Mapinduzi,jumla ya watu tisa akiwemo mdogo wa marehemu Fillipo Filikunjombe ambaye ni mwanasheria wa TCRA wamechukua fomu ili kuweza kuomba ridhaa.

Chanzo-Udakuspecially.com
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Sababu Za Wanaume Warefu Kupendwa Zaidi ya Wengine

Bila shaka umeshawahi kusikia minong’ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. Bila shaka umewahi kuisikia hii kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake.

Adonis O'Holi (Model)

Umewahi kubaini hilo?...Kama hukubaini basi ndio ukweli wenyewe kwamba kwa asilimia kubwa wanawake huwapenda zaidi wanaume warefu.


Bila shaka umeshawahi kusikia minong’ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. Bila shaka umewahi kuisikia hii kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake.

Nimelazimika kufanya utafiti wa kisomi ili kuona kama kuna ukweli wowote au ni maneno tu ya mitaani; aidha nikajaribu upande wa pili kwa maana ya kuzungumza na wanawake ili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana.

Baadhi yao wanadiriki hata kusema kwamba huwa wanatamani kuwatongoza, shida ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanamume, mwingine akaniambia kuwa wanaume warefu wengi wao wanajiamini zaidi kuliko wafupi.

Pia watu warefu wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wenye mvuto...je, wewe una maoni gani?

Mtafiti mkongwe katika masuala ya mapenzi duniani, Fisher, Helen katika kitabu chake alichokipa jina Why We Love yaani kwa nini tunapenda, kilichochapishwa Marekani (ISBN 0-8050-6913-5), anasema kuna ukweli juu ya jambo hili.

Anasema imani ya wanawake wengi ni kwamba wanaume warefu wana mwonekano mzuri. Pia kina dada wanajiona wako salama zaidi wanapoongozana na mtu mrefu tofauti wakiongozana na mtu mfupi.

Ingawa wengine wanahusisha urefu wa mwanaume na urefu na viungo...lakini kuwa na fimbo kubwa na mwingine kuwa na fimbo ndogo, haina maana kwamba mwenye fimbo kubwa atampiga mwanafunzi akaumiza zaidi kuliko mwenye ndogo...hapa ni suala la ujuzi.

Kufikiri kwamba wanaume warefu ni bora kwa sababu ya urefu wao, huenda ni imani isiyo sahihi sana, ingawa kwa kiasi ina ukweli hasa katika kimo cha mtu...mara nyingi urefu wa vidole vya mwanaume vinaweza kukupa mwelekeo wa urefu wa kwingine.

Msomi Simpson, John, ed. (1989 toleo la pili), kitabu maalumu kuhusu umbo la mwanaume, kilichochapishwa na Chuo Kikuu cha Oxford University anasema kwa kiasi fulani huwezi ukawa na vidole vifupi, halafu ukatudanganya kuwa kwingine kutakuwa kurefu, ni ngumu!

Aidha Ponchietti R, Mondaini N, BonafË M, Di Loro F, Biscioni S, Masieri L (2001) katika kitabu chao kiitwacho “Penile length and circumference’ kinachozungumzia maumbile ya wanaume na utahiri, kilichochapishwa Italia, wanasema udogo au ukubwa wa chochote hauna maana kama ndio kitakuwa kizuri au kibaya; kuwa na sura mbaya haina maana una roho mbaya wala kuwa na sura nzuri haina maana una tabia nzuri.

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu...achilia mbali baadhi ya wanawake kupenda kwa sababu ya fedha, kisaikolojia wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Pombe Yahusishwa, Ajali Mbaya ya Bodaboda..! Askari Nao Jee..?

Kamera ya mtandao huu imelimulika tukio baya la ajari iliyohusisha pikipiki mbili eneo la Club Royal karibu na lango la kuingilia chuo cha Utumishi wa Umma cha Tabora zamani UHAZILI.
Mfuatiliaji wa tukio alibainisha dereva mmoja alikuwa anatokwa na harufu ya pombe kitu kilichodhihirisha kuwa alikuwa amelewa huku kamchukua abiria na akiendesha chombo cha moto.
Mashuhuda waliuambia mtandao huu kuwa wanalalamikia jeshi la polisi kuto kujitokeza mapema eneo la tukio licha ya kuwa hapana umbali unaozidi mita 100 kutoka eneo la tukio, mfuatiliaji wa tukio aliwahoji kama kuna yeyote aliyetoa taarifa kituoni dhidi ya tukio hilo lakini hakupata majibu.
Kasendeka, mhanga wa ajali iliyohusisha pikipiki mbili maarufu kama bodaboda.  
Kasendeka, mhanga wa ajali iliyohusisha pikipiki mbili maarufu kama bodaboda eneo ilipo Club Royal karibu na lango kuu la kuingilia Chuo Cha Utumishi cha Tabora zamani kikifaahamika kama UHAZILI.
Kasendeka akiwa anazinduka ziduka, akili inakuja baada ya kuzimia kwa muda kidogo kufuatia ajali iliyohusisha pikipiki mbili eneo la ilipokuwa Club Royal.  
Kasendeka akiwa anazinduka ziduka, akili inakuja baada ya kuzimia kwa muda kidogo kufuatia ajali iliyohusisha pikipiki mbili eneo la Club Royal karibu na lango/ geti la kuingilia Chuo Cha Utumishi wa Umma zamani UHAZILI.
Ajali-bodaboda-tabora (5) Abiria na mhanga wa ajali hiyo akiwa anaugulia maumivu baada ya ajali iliyotokea muda mfupi maeneo ya Club Royal karibu na geti kuu la kuingilia Chuo Cha Utumishi wa Umma zamani UHAZILI  
Abiria na mhanga wa ajali hiyo akiwa anaugulia maumivu baada ya ajali iliyotokea muda mfupi maeneo ya Club Royal karibu na geti kuu la kuingilia Chuo Cha Utumishi wa Umma zamani UHAZILI
Ajali-bodaboda-tabora (2) Ajali-bodaboda-tabora (3) Mashuhuda wa tukio la ajali iliyohusisha pikipiki mbili maeneo ya Club Royal  
Mashuhuda wa tukio la ajali iliyohusisha pikipiki mbili maeneo ya Club Royal
Kasendeka akiwa anaangalia pikipiki yake baada ya ajali hiyo muda mfupi alipozinduka.  
Kasendeka akiwa anaangalia pikipiki yake baada ya ajali hiyo muda mfupi alipozinduka.
Askari wa Jeshi la usalama barabarani akijongea eneo la tukio. Inakadiriwa ni zaidi ya dakika 15 au zaidi zilipita ndipo askari alijitokeza eneo la tukio licha ya tukio hilo kutokea umbali wa mita za makadirio zisizozidi 100.  
Askari wa Jeshi la usalama barabarani akijongea eneo la tukio. Inakadiriwa ni zaidi ya dakika 15 au zaidi (Kwa mujibu wa mashuhuda) zilipita ndipo askari alijitokeza eneo la tukio licha ya tukio hilo kutokea umbali wa mita za makadirio zisizozidi 100 kutoka kituo kukuu cha Polisi mjini Tabora.
Askari akifuatilia tukio hilo baada ya dakika zinazokadiriwa na mashuhuda wa tukio kuwa ni zaidi ya 15 toka ajari imetokea.  
Askari akifuatilia tukio hilo baada ya dakika zinazokadiriwa na mashuhuda wa tukio kuwa ni zaidi ya 15 toka ajari imetokea.
Askari akimhoji Kasendeka kabla ya kwenda naye kituoni huku mhanga mmojawapo kuwa tayari alishakimbia eneo la tukio na kuisaliti pikipiki eneo la tukio.  
Askari akimhoji Kasendeka kabla ya kwenda naye kituoni huku mhanga mmojawapo kuwa tayari alishakimbia eneo la tukio na kuisaliti pikipiki eneo la tukio.
Ajali-bodaboda-tabora (1)  
Picha na Aloyson
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Music| Usiku Mmoja - Mansu-L. Download+Listen


Rapper Mansu-Li aliyewahi kutamba na mikito kibao ikiwemo "Kina Kirefu" sasa amerudi na kitu kipya "Usiku Mmoja" akimshirikisha Maullo!
Kuwa wa kwanza kupakua hapa

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Music; No Stress – LINAH / Download/ Listen




Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
© Copyright Mahaba Live
Back To Top