Featured
Loading...

GRACE MLAWA MRIMBWENDE CHUO UTUMISHI WA UMMA TABORA 2013/14

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


GRACE MLAWA (19), ANAYESOMEA KOZI YA UTUNZAJI KUMBUKUMBU KATIKA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA AIBUKA MRIMBWENDE BAADA YA KUWAACHA WENZAKE 9.
KULIA NI LILIAN WAGUMBA (20) MSHINDI WA PILI, GRACE MLAWA (19) MSHINDI NA PAULINE EDWIN MPINGA (18) MSHINDI WA TATU.
GRACE AKISHANGILIA USHINDI WAKE KABLA YA KUKABIDHIWA TAJI HILO LILILOKUWA LIKISHIKILIWA NA FLORAH PHILIPO
GRACE AKIVISHWA TAJI
GRACE KATIKA ONESHO LA KIPAJI
JOYCE KATIKA ONESHO LA KIPAJI
CHRISTINA WANDIBA KATIKA VAZI LA UBUNIFU
WAREMBO KATIKA VAZI LA UBUNIFU
WAREMBO KATIKA VAZI LA UBUNIFU
WAREMBO KATIKA ONESHO LA UFUNGUZI
MH. MUNDE TAMBWE, AMBAYE ALIKUWA MGENI RASMI AKIMKABIDHI PAULINE MSHINDI WA TATU CHOMBO CHA MUZIKI MAARUBU KAMA SABUFA NA FEDHA TASLIMU TSH 100,000
MH. MUNDE TAMBWE, AMBAYE ALIKUWA MGENI RASMI AKIMKABIDHI LILIAN WAGUMBA MSHINDI WA PILI TELEVISION (FLAT SCREEN, YENYE MONITOR YA KOMPYUTA PAMOJA NA DVD PLAYA YENYEWE) NA FEDHA TASLIMU TSH 200,000
MH. MUNDE TAMBWE, AMBAYE ALIKUWA MGENI RASMI AKIMKABIDHI GRACE MLAWA MSHINDI WA KWANZA ZAWADI YA LAPTOP (KOMPYUTA MPAKATO) NA KITITA CHA TSH 300,000
ALLY NIPISHE JUKWAANI AKIBURUDISHA KATIKA SHINDANO LA WAREMBO WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA 2013
ALLY NIPISHE NA ALLY BAUCHA JUKWAANI WAKIBURUDISHA KATIKA SHINDANO LA WAREMBO WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA 2013
LIZY DADY (MSHINDI SUPER NYOTA WA SERENGETI FIESTA 2013 TABORA) JUKWAANI AKIBURUDISHA KATIKA SHINDANO LA WAREMBO WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA 2013
ANAFAHAMIKA KWA JINA LA JOHN MAGANGA MAARUFU KAMA MICHAEL JACKSON WA BONGO TOKA DAR ES SALAAM AKIBURUDISHA SHINDANO LA UREMBO NDANI YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA
BAUCHA NA MA-DANCERS WA TABORA-DANCE MASHINE
KUSHOTO NI FLORAH (AMBAYE MUDA WAKE UMEKWISHA KUSHIKILIA TAJI) NA MGENI RASMI MH. MUNDE TAMBWE
FLORA WA STAR TV NA MUAANDAAJI WA MASHINDANO YA MISS TANZANIA KANDA YA ZIWA MWANZA AKITOA PONGEZI NA SALAMU ZAKE
ONESHO LA MAVAZI, WANACHUO. KUSHOTO NI ANETH (ANNEY) NA QUEEN WAKIONESHA VAZI LA HARUSI
WANACHUO ONESHO LA MAVAZI
WATOTO NA VIPAJI VYAO, WAWILI WAKIUME NI MAPACHA (STANDARD SEVEN LEAVER) NA DADA YAO FATUMA, WATOTO WA ADAM FUNDIKIRA
DANCE MACHINE KAZINI
LIZY DADY KATIKATI NA MASHABIKI WAKE
GRACE, MSHIDI KATIKA PICHA NA WAREMBO WENZAKE.
(PICHA ZOTE NI KWA MKONO WA ALOYSON BLOG

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top