
Mauti ya kikatili ya mama anayedaiwa kuwa ni mzazi wa diwani wa viti maalu wa Bukumbi huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora yametokea jana tar. 26.02.2014. Kwa mujibu wa chanzo chetu kikiwasiliana na aloyson.com imedaiwa kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi wa chanzo cha kifo hicho cha kuvamiwa mwanamke huyo na watu wasiofahamika.
PICHA NI MBAYA ZA KUTISHA TAFADHALI
[TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA, ALIYE NA UJASIRI TU NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18 ANASTAHILI KUANGALIA. *ZINATISHA* NARUDIA *ZINATISHA*]