
Kama ni mpenzi na mfuatiliaji wa muziki wa #BongoFlava basi unakumbuka au unafahamu vizuri ngoma ya Nidanganyedanganye iliyofanywa kwa kolabo kubwa lililohusisha wasanii hawa.
Sasa kwa ukali wao ule na hivi sasa pata picha ngoma itakayotolewa hivi sasa na kwa ubunifu ambao wamekuwa wakiuleta au idea zao za kisanii kukaa tena pamoja...
Kaa ukisubiri ujio wao wa maana kwa kazi yao mpya inayopikwa hivi sasa itakayokuwa gumzo zaidi ya nidanganyedanganye.. Hapa ndo mahali pako kwa habari za uhakika. Imeandikwa na aloyson.com/ chanzo mtandao wa Dj Choka