.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Namna wanawake na wasichana wa Chuo Cha SAUT - Tabora walivyotawaliwa na furaha na kupendeza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Neema, moja ya washereheshaji

Mkuu wa chuo
Mr. Kawiche
Ong'ang'a (Mhadhiri)
BASO
BPRM

BBA
***
Chuo cha Mt. Agustino kimeadhimisha matukio mawili leo hii, la kwanza likiwemo la kusherehekea siku ya wanawake duniani na pili ni maadhimisho ya kila mwaka la SIKU YA JAMII (Community Day) ambapo vikundi kutoka kila maeneo yao huandaa maonesho mbalimbali na mashindano tofauti kwa maonesho hayo.
AMUCTA (SAUT-TABORA) Kwa kutambua umuhimu wa siku ya wanawake wao pia huaandaa siku hiyo maalumu na kufanya maadhimisho hayo wote kwa umoja kati ya uongozi wa chuo na wanachuo wote, hakika huwa ni siku ya furaha sana kwa kila anayeshiriki maadhimisho ya siku ya wanawake.