![]() |
| Roma Mkatoliki, msanii wa HipHop na mkali wa miondoko hii hapa Tanzania akitoa burudani yenye gumzo kwa mashabiki wake baadhi wa mkoani Tabora mjini katika ukumbi wa Florida Pub. Mashabiki walipiga shangwe kwa sana kumpokea mkali huyu. |



Ukisikia wasanii hupendwa kupita kiasi basi muulize shabiki huyu utapenda mwenyewe, ni uzalendo hasa
![]() |
| Roma Mkatoliki, msanii mkali wa HipHop mwenye style ya pekee sana nchini na mtindo huo unampa umaarufu kila atoapo nyimbo zake, kitu hicho humfanya kupendwa sana na mashabiki zake |







Picha zote ni kwa hisani ya aloyson.com









