Featured
Loading...

Camilla John aibuka mshindi Redds Miss Dar Indian Ocean!

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE






Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean 
Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe 
Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein 
Muandaaji wa Redds Miss Dar Indian Ocean Bibi Rahma Yusuph na mgeni rasmi Mh Abass Tarimba 
Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw Albert Makoye akimkaribisha mgeni rasmi Bw Abass Tarimba afungue hafla rasmi. 
Bw Abass Tarimba(MGENI RASMI) mkurugenzi wa Bahati nasibu ya taifa 
Boy George akiwa na mdhamini CXC Africa Bw Charles Hamka wakijadili jambo fulani jana. 
Majaji wa Miss Dar Indian Ocean wakifuatilia mwenendo wa shiondano hilo jana 
Majaji wakitazama kwa makini moja washiriki akipita jukwaani toka kushoto Innocent Melleck, James Kissaka na Hassan Ally. (PICHA NA mkalamatukio.blogspot.com)

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top