Huku ukisubiria kwa hamu kujua matokeo ya Diamond Platnumz hii leo kwenye tuzo za BET , haitakua vibaya kama ukiangalia sekunde 15 za video yake mpya ya ngoma inayoitwa BumBum aliyomshirikisha Iyanya kutoka Nigeria, Video hii imefanywa na director Mo Musa.icheki hapa..
Loading...
Diamond Platnumz - BumBum Feat Iyanya (Teaser Video)
Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
MAPENZI MATAMU BLOG







