Featured
Loading...

GOSSIPS: PICHA ZA DAYNA NA NANDO ZAZUA MASWALI, NI MAPENZI AU KAZI? SOMA HAPA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Je kuna uwezekano aliyekuwa mshiriki wa
Tanzania katika jumba la Big Brother mwaka jana,
Ammy Nando akawa ameitikia wito wa ‘Nivute
Kwako’ ya Dayna Nyange?. 
Picha alizopost muimbaji kutoka mji kasoro
bahari, Dayna Nyange Instagram zimevuta hisia
za wengi ambao wamejiuliza maswali na kupata
hisia kuwa kuna kitu kinanukia.
Dayna hajaweka wazi ni kitu gani kinachoendelea
au kinakuja kinachomhusu yeye na Nando, lakini
kuna usemi usemao ‘a picture speaks louder than
words’, kwa maana kwamba picha peke yake hata
isipokuwa na maelezo inaweza kutoa maelezo ya
kinachoonekana, lakini ngoja tusu

CREDIT : JIPANGE

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top