
Naendelea na utaratibu wangu wa kutoa Non Stop Mixx zangu za kila mwezi kwa mashabiki wangu dunia nzima.Na safari hii nawapa zawadi ya sikukuu ya EID “RESPECT THE DJ NON-STOP MIXX” ambayo unaweza kuskiza,kudownload na kushare na marafiki popote pale ulipo kupitia Tablet,Computer au SmartPhone yako.
Non-Stop Mixx hii nimeipa jina la “RESPECT THE DJ MIXX” ili kurudisha na kukumbusha watu heshima na umuhimu wa Dj katika muziki kumbuka tunawaburudisha kupitia vipindi vya radio, Club na Non-Stop Mixx kama hizi. So Enjoy na kuburudika na Non Stop hii huku ukitafakari umuhimu wa DJ.
Wewe kama mdau wa muziki hapa nchini kupitia BLOG,WEBSITE,INSTAGRAM,TWITTER na FACEBOOK naomba unisaidie kushare link na ARTWORK(PICHA) kwenye mtandao wako.
Asante sana na Mungu akubariki sana.
DJ D-OMMY
TIMES FM.