
Muimbaji Shakira wa Colombia ameweka rekodi mpya kwa kuwa mtu wa kwanza kufikisha likes milioni 100 kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.
Mwezi March mwimbaji huyo wa ‘Can’t remember to forget you’ alitajwa kuwa ‘most-liked musician on Facebook’ kwa kumzidi kidogo Rihanna. Wakati huo alikuwa na likes milioni 86.3.
Kusheherekea mafanikio hayo Shakira amepost video katika akaunti yake ya facebook akiwashukuru mashabiki wake.
“That is incredible, Thank you so much for your support, for your loyalty, for your love. It’s really unbelievable. Thank you so much.” Amesema kwenye video hiyo.[Bongo5] BOFYA HAPA
RANK NYINGINE
KWA WATU MAARUFU WA TANZANIA