Featured
Loading...

TANZANIA YANG'ARA TUZO ZA AFFRIMMA HUKO MAREKANI: DIAMOND, LADY JAY DEE NA SHEDDY CLEVER

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Wanamuziki wa Tanzania Diamond Platumz na Lady Jay Dee washinda tuzo za wasanii bora wakike na wakiume Afrika Mashariki kwenye tuzo za AFRIMMA zilizofanyika usiku wa kuamkia leo nchini Marekani. Producer Sheddy Clever (kulia chini) nae ameibuka mshindi wa tuzo ya Producer Bora kutokana na utengenezaji wake wa wimbo wa Diamond Platnumz Number One.

Pamoja na kushinda msanii bora wa kiume Africa Mashariki, Diamond pia amechukua tuzo nyingine ya nyimbo bora ya kushirikiana ambao ni Number One Remix aliyofanya na Davido kutoka Nigeira. Ogopa Deejays kutoka Kenya nao washinda tuzo ya Director Bora kutokana na kudirect video ya Number One original. Hongera nyingi kwao wote kwa kuleta Heshima Nyumbani

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top