
Video ya Shetta imetambulishwa kwenye kituo cha MTV Base kwenye kipindi maalum cha kutambulisha video mpya. Ni hakika wasanii wa nyumbani Tanzania wameanza kupenya katika anga zinazostahili kwa ubora wa kazi zao na jitihada wanazoziweka katika kazi zao.