
Sasa ni wakati wa kuusikiliza wimbo wa wakali wa kudance na kuimba, waite Makomando ambao wanabamba sana ihi sasa na kibao chao kiitwacho LINAH. Na hivi sasa wnakuja na ujio huu ambapo wememshirikisha Kitale mchekeshaji na muigizaji Bongo Muvie. Wimbo huu unakwenda kwa jina la WALETE uliofanywa na producer EMA THE BOY wa SORROUND SOUND.