
Sasa ni "JIDABUE". Jidabue ni wimbo mpya wa Snura yule yule mama wa majanga na kuvurugwa. Snura mwananmziki wa kike aliyetamba na vibao mashuhuri na vya ukweli kweli kama "MAJANGA" NA "NIMEVURUGWA" vilivyompa umaarufu mkubwa katika tasnia hii ya mziki anazidi kudhihirisha kuwa yeye ni nani kwa kukuletea msikilizaji wake kibao hicho kiitwacho "JIDABUE"
Pata kukisikia na kukupakua kwa kubofya HAPA au hapo chini