Msanii MANOTA aliyetoka na kibao kilichoitwa "Tanzania Nchi Yangu" sasa amekuja na ujio mpya wa nyimbo kali itakayoenda kwa jina la NIMETOKA MBALI inayotarajiwa kuachiwa hivi punde. Kaifanya katika studio ya THOY MUSIC chini ya Producer Kingdom.
Loading...
MANOTA - NIMETOKA MBALI | New Song Coming Soon
Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
MAPENZI MATAMU BLOG