Kuna kipindi ilisambazwa picha iliyokuwa kama mbwembwe za kufurahisha watu mitandaoni ikionesha vipi Ommy Dimpoz alivyotoka Kigoma Kuja mjini, kwa kweli ilifurahisha sana watu wengi kuona Ommy mzee wa tupogo ndani ya yeboyebo na fuko kubwa maarufu kama Shangazi kaja.
Lahasha...! Kumbe ilikuwa ni ufanyaji wa video mpya ya Remix ya TUPOGO. Sasa utizame mzigo huo hapo chini. Na hakikisha una share na mwenzako.