Featured
Loading...

ORIJINO KOMEDI WATINGA NDANI YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Kundi la Orijino Komedi likipata picha ya pamoja na ma-Jembe dJz kulia ni Dj Davy, kushoto ni Dj K-Flip, katika studio za Jembe Fm 93.7 Mwanza, Orijino Komedi Kesho jumapili wataungana na Yamoto Band katika Sunday Bonanza ya Familia na marafiki itakalopigwa Jembe Beach Malimbe kwa kiingilio cha shilingi 5000/=.
Usiku wa leo (Jumamosi) uko pale pale ni SkyMotto, bendi ya Skylight itakisanukisha ikiwa sambamba na Yamoto Band ambapo kiingilio ni shilingi 10,000/= tu!!
Dj Frank on one & two at Jembe Fm 93.7 Mwanza.
Another one....
jEMBe 'PAMOJA SANA'
jEMBe 'PAMOJA SANA' another one.
jEMBe 'PAMOJA SANA' with G. Sengo pale kati. 
Picha na G Sengo

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top