Katika kufunga mwaka huu wa 2014 wasanii wengi wanadondosha mangoma yao ili kukamilisha vizuri ndoto zao. Miongoni mwao ni kama huyu BOBRAY TZ na ngoma yake inaitwa SWAG akimshirikisha DX. Show love kwa kusikiliza na kupakua mziki wa kitanzania na kusupport mziki wetu.
Loading...
Bobray Tz_SWAG_ft_DX -Download Here Now
Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
MAPENZI MATAMU BLOG

.jpg)





