Huku hali ya kimziki hapa nyumbani Tanzania kuwa tete kwa mitizamo ya wengi kuwa mziki na pesa ndo kila kitu ikiwa imeshamiri inazidi kuwatia hofu wasanii wengi wasio na uwezo wa kipato wanachoamini kitawapa thamani ya kazi zao za kisanii. Kwani hali ilivyo sasa ni kwamba ubunifu umewekwa pembeni, ubora wa kazi nyingi umefukwa na pesa huku zikiwatisha wasanii wadogo.
PESA IMEKUWA KAMA ULANGUZI WA MUZIKI MBOVU
Sasa basi miongoni mwa wasanii wakubwa nchini, Ben Pol alipost maneno machache
Sasa Hatushindani Kutoa Nyimbo Kali Bali Tunashindana Kumwaga Hela... Okay.. Je, Chipukizi masikini Vipi.?