Upcoming artist anaekuja kasi kwenye uwanja wa burudani goes by the name of Shaib Mohamed a.k.a Sharay ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "Kali Flow" aliyofanyia AJ Records chini ya Producer Abou Mtoni. Hii ni ngoma yake ya pili baada ya ile ya "Next Level"
Pia unaweza kuipata ngoma nyingine kali inayoitwa "Next Level" iliyomtambulisha Sharay kwenye music industry kwa kubofya HAPA.