![]() |
R.I.P Msanii YAMS. |
Taarifa mbaya za kutoka A$AP Mob camp ni kwamba msanii na mwanachama mwanzilishi wa kundi la A$AP Mob, YAMS mwenye umri wa miaka 26 afariki dunia. Taarifa zilithibitishwa mapema Jumapili asubuhi. Taarifa zinasema bado chanzo cha kifo hicho hakijafahamika mara moja.