Video ya wimbo wa Harmonize iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana sasa unaweza itia machoni pako moja kwa moja.
Harmonize ni miongoni mwa wasanii waliosaini lebo ya WCB Wasafi Records chini ya Diamond Platnumz. Video hii imefanywa mjini Jo'burg Afrika kusini na muongozaji Nick Roux