
Huyu ni mzee anayeishi katika maisha ya hali ya kuombaomba lakini yeye ni mhanga wa UKOMA, anatokea katika kijiji cha Amani, Ipuli- Tabora. Walelewa na kupewa misaada na serikali kupitia mamlaka ya ustawi wa jamii.
Hadi kuhojiwa na "aloysonTv" mzee huyu alikutwa mjini Tabora katika mizunguko yake akiombaomba chochote apete kula, alidai mzee huyu anayefahamika kwa jina la Andrea.
TUNAOMBA RADHI KWA KUTOKUWEPO MTANDAONI KWA MUDA HII ILITOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI