
Hii ni single ya nne baada ya ile ya Amazing ya mwaka 2009,Futa nyayo aliyomshirikisha David Cosmas mwaka 2010, Wanazama aliyomshirikisha Lizzy Daddy na B Ranger mwaka 2013 Mistari iliyomo katika ngoma hii imetoka katika moja ya freestyle ambazo amekuwa akiziandika kupitia akaunti yake ya facebook ,mfano verse ya kwanza iliandikwa siku ya chrismas mwaka 2013 katika akaunti hiyo Wimbo huu unazungumzia mambo mengi yanayohusu ukweli wa mambo mengi yanayotokea katika maisha ya kila siku.Sikiliza na bofya hapa kudownload