
Mh. Celina Kombani, waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma aliyekuwa mgeni rasmi wa sherehe hiyo ya mahafari iliyofanyika mjini Tabora katika Ukumbi wa Chuo

Mgeni Rasmi akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wahitimu waliofanya vizuri katika vitengo vyao.


Maandamano kuelekea ukumbini yakiongozwa na mgeni rasmi Mh. Celina Kombani aliyevaa Joho jekundu.




Viongozi wa Vyuo

