Featured
Loading...

“BABA YETU DAVIDO” Kalamu ya NIKKI WA PILI:

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Enzi za kina msondo,ott jaz, kina pepekale, kofii, kanda bongo mani..walikuja piga hela bongo na kuwaacha kina msondo katika umaskini. Sasa nikina davido wametawala radio,tv,clubs,joints za starehe na wana kuja piga hela nyingi. Air time ya davido ni ndoto ya wasanii wengi..ambao ndio waliotengeneza soko hili.

Karne ya 14 states ndogo ziliungana na kuunda taifa la uingereza ili kulinda soko la ndani na jupigania la nje..hata makoloni ya mwingereza hayakuruhusiwa kufanya biashara na taifa lingine la kizungu..baadae marekani states 52 zikaungana na kuwa taifa kubwa lenye soko kubwa la ndan na nje..then india,china nao wanefuata theory hiyo nakuwa vizur katika biashara ya utamaduni. Unazani wakati wachina wakivaa vile vinguo katika mov ya bruce lee walikuwa hawoni timberland,jins, nike na zingine?

Hata magret sucher,na marekani wakati wanatangaza sera za soko uria na kufunguwa masoko..wao wali double ulinzi wa soko la ndani. Wanajuwa mmoja wa ndani akipata mia wanao mzunguka shilingi haziwezi wapiga chenga…ila mgeni akichukuwa mnabaki na ziro [Via DJ Choka]

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top