Featured
Loading...

DEREVA BODABODA AUWAWA NA KUPORWA PIKIPIKI SANYA MKOANI KILIMANJARO..! PICHA 5 ZA TUKIO HIZI HAPA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Tukio hili la mauwaji limetokea jana usiku maeneo ya Sanya KIA mkoaniKilimanjaro mkabala na uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot KIA.

Kijana huyu aliyetajwa kuwa ni Dereva Pikipiki (Bodaboda) alikutwa amekufa huku akiwa na majereha ya mapanga usoni,

Kijana huyu muendesha Bodaboda mkazi wa Kikatiti amekutwa na
Vitambulisho mfukoni vyenye kumtambulisha majina yake Pendaely Nasary inasadikika alinyang'anywa Pikipiki.
Written By Masai Nyotambofu
Imeripotiwa na DJ TINDO kutoka KIA. NA INASADIKIKA
Polisi wa kituo cha Polisi cha Boma Ng'ombe wakipakia Mwili wa kijana huyo kwenye Gari.
Baadhi ya mashuhuda wakiwa katika Eneo la tukio

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top