Kwa habari za kusikitisha na kutisha zilizosambaa usiku huu mjini Tabora zinaeleza kuwa mfanya biashara maarufu Bw. Michael {Maiko} muuza spare {spea} za pikipiki maeneo ya stendi ya zamani ya mabasi mkoani hapo amefariki jioni hii kwa kupigwa sehemu ya kichwani na watu wasio julikana!
Tutaendelea kufuatilia undani wa tukio zima kwa umakini ili kuwapa taarifa kamili ya namna mauti yalivyomkumba mpendwa wetu.
Kwa habari zaidi endelea kutembelea mtandao wetu






