Featured
Loading...

BW. MAIKO ALIYEPASULIWA UBONGO NA JIWE... PICHA YA KUTISHA.

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Bw. Maiko (Michael [ Maarufu kama Mhaya])  anayekadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 30 na mkazi wa Kiloleni-Tabora aliyekuwa muuzaji wa vifaa vya pikipiki stendi ya zamani ya mabasi mjini Tabora aliuawa jana 20/03/2014 na watu wasiofaha mida ya jioni akiwa mizungukoni maeneo ya Kanyenye.

Inadaiwa marehemu aliuawa kwa kupigwa/ kupondwa na jiwe kifuani na maeneo ya kichani hadi kupelekea kutawanya ubongo wake, wavamizi au majambazi hayo yalikuwa na bunduki lakini inasemekana haikutumika na hawakuchukua kitu chochote zaidi ya kumdhuru marehemu huyo.

Watu hao hawajafanikiwa kufahamika kwani walitokomea tu mara baada ya kumdhuru marehemu.

Kwa habari zaidi endelea kutembelea mtandao wetu

FUNGUA TU KAMA NI JASIRI NA UNA ZAIDI YA MIAKA 18. INATISHA.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top