Mara nyingi tumekuwa tukipokea nyimbo nyingi zenye radha tofauti masikioni mwetu, chukua nafasi na muda wako kusikiliza kazi hii na kutambua kipaji hiki maridhawa cha msanii huyu anayeitwa "Mo Music" wa Mwanza. NA UKIIPENDA MPWE NA MWENZIO.
HAKIKA TUWAUNGE MKONO VIJANA WANAOJITUMA KATIKA KAZI ZAO ILI WATOKE. JIVUNIE PIA KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO YA MWENZAKO NA WEWE UTAFANIKIWA TU, maneno yanguKuupata wimbo huu bofya HAPA
Producer Lollipop







