PICHA ILIYOONESHA SURA YA MAREHEMU ILIYOTUNA USO BAADA YA KUHARIBIWA NA WAVAMIZI WALIOUTOA UHAI WA MAREHEMU MICHAEL SAMSON. KUIONA BOFYA HAPA (TAFADHARI INATISHA)

Shughuli ya mazishi ya marehemu (Bw. Michael, aliyeuawa kikatili mkoani Tabora) ilikamilika jana tarehe 23/03/2014 huko mkoa bukoba baada ya kusafirishwa kutoka Tabora.


Kwa simanzi nzito dhidi ya msiba huu, poleni sana.

Hapa ndipo safari ya mwisho ya ndugu yetu ilipowadia na kupumzika milele


Nyumba ya Milele ya mpendwa wetu
*****
Pole za dhati kwa walioupokea msiba huu wa kuhuzunisha na Mwenyezi Mungu atujalie nguvu ya uvumilivu wa tukio la kifo cha mpendwa wetu. (Asante Jumanne R Kombo)