Featured
Loading...

MH. SITTA KUONGOZA MSAFARA WA MAREHEMU "Ramadhani Fundikira" KUELEKEA TABORA KWA MAZISHI

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Mh. Samuel Sitta ataongoza msafara na mazishi ya marehemu Ramadhani Fundikira mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege mjini Tabora mnamo saa 5:30 asubuhi na taratibu nyingine zitaendelea kama kawaida. Katika msafara huo Mh. Sitta ataongozana na watu wengi akiwemo Mh. Aden Rage mb. wa Tabora mjini wakiongozana na watoto wa marehemu; Saidi, Adam, Chelu, Nzwala na Mkala mpwa wa marehemu
Mzee Ramadhani Fundikira wakati wa uhai wake, (1927-2014). Alifariki tarehe 03/04/2014 saa 10:30 alfajiri katika hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni , Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na figo kwa takriban wiki 3.

Mwili unatarajiwa kusafirishwa kesho Tarehe 5/4/2014 na kuzikwa kijijini kwao Itetemia, Tabora, huku muda unakadiriwa kuwa ni saa 7 mchana.

TARIFA ZOTE MUHIMU ZITAWAJIA KUPITIA MTANDAO HUU.

TUNAUNGANA NA FAMILIA NZIMA KIPINDI CHOTE KIGUMU CHA MAOMBOLEZO YA MPENDWA WETU

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top