
Mzee Ramadhani Fundikira, 1927-2014 87 years old. Amefariki leo saa 10:30 alfajiri katika hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni , Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na figo kwa takriban wiki 3. Anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Itetemia, Tabora. Mipango ya mazishi inafanywa. Kwa sasa msiba Upo nyumbani kwake Kinondoni B Msufini.
TUNAUNGANA NA FAMILIA NZIMA KIPINDI CHOTE KIGUMU CHA MAOMBOLEZO YA MPENDWA WETU
Tutazidi kuwaarifu lini mwili wa marehem utawasili Tabora pamoja na tarehe ya mazishiTARIFA ZOTE MUHIMU ZITAWAJIA KUPITIA MTANDAO HUU.
TUNAUNGANA NA FAMILIA NZIMA KIPINDI CHOTE KIGUMU CHA MAOMBOLEZO YA MPENDWA WETU