Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtel Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu anawajoin JB na Joti Ambao nao pia kwa sasa wanatangaza Promo za Makampuni ya Simu....Hongera Wema ...
#Teamwema Mpo??