Featured
Loading...

MJUE MKE WA SHEDDY CLEVER PRODUCER WA MY #1 YA DIAMOND PLATINUM

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


 
Sheddy Clever, Produce wa My Number One ya Diamond Platinum ambayo imempa umaarufu mkubwa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania ikiwa ni pamoja na kuwa nyimbo inayowika sana katika Tuzo nyingi za Tanzania na Afrika kama MTV MAMA'S AWARDS, AFRIMMA N.K,

Producer huyu amekili kuwa mahusiano mazuri ya yeye na jamii yake nzima kuanzia familia imekuwa chachu kubwa katika kumsaidia hadi hapo ambapo tunamuaona akifanya kazi vizuri, licha ya wazazi wake kuwa bega kwa bega naye lakini BIBI yake amekuwa mtu muhimu sana kwake kwa upendo wake wa kuipenda, kuijali na kuibariki kazi aifanyayo mjukuu wake huku akifananisha tofauti kubwa ya kizazi cha bibi yake ambaye hadi hivi sasa anapenda sana kazi za mjukuu wake ambaye yeye hujivunia kama ni mpenzi wake hodari kama desturi nyingi zinavyoamini kuwa upendo wa bibi kwa mjukuu hutawaliwa na amani na maono mengi ya manufaa ikiwa bibi atatoa baraka zake kwa mjukuu wake,

Vivyo hivyo mjukuu hupenda sana kuwa karibu na bibi yake ili kupata na kuchota busara ambazo wazee wetu zimewafikisha pale walipo (uzeeni)

Tukiachana na mke wa Sheddy, producer huyu hivi sasa amewika katika tuzo kubwa za AFIMMA zenye kilele chake hapo tarehe 26/07/2014 huko Marekani. Sheddy ameingia kama producer bora wa mwaka akishindanishwa na ma-producer wakubwa kama Don Jazzy(Nigeria) Shizzi (Nigeria) Killbeatz (Ghana) Dj Oskido (South Africa) Nash Wonder (Uganda) Ogopa(Kenya).

Sasa kumfanya Sheddy ashinde mpigie kura kwa kubofya HAPA
AU

Bibi wa Sheddy.

Bibi na Mjukuu wake

KUMPIGIA KURA SHEDDY 
BOFYA HAPA 

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top