
Basi lilichukuwa wachezaji wa Arsenal na kombe lao mitaani mambo yalikuwa hivi katika jiji la London.
Mama mpenzi wa Arsenal akipata ukodak
Wachezaji wa Arsenal wakipata ukodak na kombe lao
Kocha wa Arsenal kasema bado yupo yupo saana tu
Mertesacker mchezaji wa Arsenal






