.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Stamina msanii mwenye umaarufu mzuri katika mziki wa HipHop akifanya onesho siku ya uzinduzi wa video ya "Mzuka wa Masai" ya Deevon, Stone The Hoodstar na SirMoe iliyofanywa na GuruMedia huku muongozaji akiwa ni "Omry J". Bofya Hapa Kuiona.






Stamina akiwa katika moja ya kituo cha redio CG FM 89.5, mahojiano kabla ya onesho