
Hizi picha ndizo zinazodhihirisha mchakato mzima wa kuwapata warimbwende wa3 wa mkoa wa Tabora (Mshindi-Zenna Motte, wa2 Elizabet na wa3 Lencer Stephan) ambao wamekuwa videdea wa REDDS MISS TABORA 2014. Baada ya mchuano huu mkali uliohusisha warembo toka baadhi ya vyuo vya mjini hapo ikiwa ni TPSC, SAUT (AMUCTA) NA TEKU inawapelekea washindi hao kwenda katika mashindano ya kanda mkoani Dodoma yatakayotoa washindi wa kanda watakaotakiwa kuingia kambi ya Miss Tanzania.