Featured
Loading...

New Song: BHITZ FEAT. DJ CHOKA, MABESTE, DEDDY& MRAP - CHAPA MITAA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


B’Hitz ilitajwa na wengi kama timu bora ya wasanii na watayarishaji wa muziki kuwahi kutokea Tanzania imerudishwa tena kwa mashabiki.
BHitz imeachia wimbo mpya uliofanywa na wasanii wa zamani wa label hiyo, unaitwa ‘Chapa Mtaa’ ambao umewashirikisha wakali hao.
MRap Lion, DJ Choka, Gosby, Mabeste na Deddy.
Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Pancho Latino na Hermy B.

TO DOWNLOAD CLICK HERE

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top