Featured
Loading...

PICHA: Watanzania Waitokeza Kuuaga Mwili wa George Tyson

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Mchana wa leo tar. 4 June, 2014 mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directer Geogre Tyson aliyeaga dunia Ijumaa iliyopita maeneo ya Gairo kwa ajali mbaya ya gari. Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik M. Sadik akizungumza na wafiwa pamoja na waombolezaji waliofika katika viwanja hivyo.
Pichani kuanzia kushoto ni Mama mzazi wa Mboni Masimba halafu Mboni mwenyewe pamoja na mtoto wa marehemu anaitwa Sonia akiwa na mama yake Monalisa.
Mama mzazi wa Lulu pamoja na Mama mzazi wa marehemu Kanumba
Mwakilishi wa BASATA
Roma, Jay Dee na wengine wengi wakihudhuria kumuaga marehemu
Rehema kutoka Visual Lab akiwa kwenye mazunguzo na Roma
Kiongozi Bongo Movie, Steve Nyerere akiongea jambo.

All Photos By: djchokamusic.com/

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top