Featured
Loading...

IBADA YA KUMUAGA MWANZILISHI WA TGNP, FIDES CHALE YAFANYIK

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Jeneza lenye mwili wa marehemu Fidelis Siwangu Chale likiwa katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar.
Jeneza likishushwa kutoka kwenye gari ili kuingia kanisani.
Rafiki kipenzi wa marehemu Fides Chale akisoma wasifu wa marehemu.
Shada la wajukuu kwa ajili ya bibi yao likiwa kanisani.
Viongozi wa Kanisa Katoliki la St.Peter wakiwa katika ibada ya kumuombea Fidelis Chale.
Wajukuu wa marehemu Fides.
Wanafamilia wakiwa kanisani.
Wanafunzi wa St. Antony ambapo marehemu aliwahi kuwa mwenyekiti wa chama cha wazazi wakiwa katika ibada hiyo.
Waumini wakiendelea na ibada.
Wasifu wa marehemu.
MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi na muasisi wa TGNP, Fidelis Siwange Chale umeagwa leo katika Kanisa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay jijini Dar na baadae kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Marehemu alifariki dunia Juni 2, mwaka huu.
(Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL)


Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top