Featured
Loading...

MSANII WA KIKE BONGO MOVIES APATA AJALI ANUSURIKA KIFO

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Shery Mwana

MSANII huyu wakike kutoka Bongo Movies amepata ajali leo maeneo sinza kijiweni jioni hii akielekea kwenye
msiba wa Geoge Tyson huko mbezi.

Shery Mwana alipatanajali hii baada ya daladala kugonga pikipiki kwa nyuma pikipiki hio iliombeba dada huyo na kusababisha ajali mbaya dada huyo kwa sasa yupo nyumbani kwake mabibo chuo cha usafirishaji jijini Dar, Baada ya kukimbizwa hospitali ya Serekali Palestina Sinza.


M/mungu amjalie apone haraka dadaetu Shery Mwana

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top