“This video is going to be best video in Africa 2014,” inasomeka moja ya comments kwenye teaser ya video ya Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz inayotarajiwa kutoka Jumatatu hii. “OMG, thats all i can say,” ameandika mwingine. Hii video italeta shida Afrika. Jionee mwenyewe.
WATCH AND DOWNLOAD OFFICIAL VIDEO HERE