Featured
Loading...

ATALOFANYA DIAMOND KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA MAMA YAKE SOMA HAPA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


hover_share

Msanii Diamond Platnumz amepanga kufanya kitu tofauti kwenye siku ya kuzaliwa ya Mama Yake mzazi ambayo itakuwa Tarehe 7/7. Kama shabiki na mpenzi wa Diamond na Kazi zake hii inakuhusu

Kusheherekea siku ya Kuzaliwa kwa Mama yangu kipenzi tareh 07/ 07 jumatatu hii, ntadondosha Video zangu Mbili kwa Pamoja....! Hakikisha unawai kusubscribe kwenye Account yangu ya Youtube ya "Diamondplatnumz" ile uwe wa kwanza Kuziona...!! 
[As Iam celebrating my lovely mum'z birthday this Monday, I will also release my 2 videos at once... Make sure you are subscribed on my "DiamondPlatnumz" Youtube Chanel so that you can be the first one to Watch them....!!! ]

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top