Featured
Loading...

Idadi Mpya ya Miili Iliyopatikana Katika Ajali ya Ndege ya Malaysia.

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Wafanyakazi wa dharura wa Ukraine wanasema wamekuta miili ya watu 196 katika eneo ilipotokea ajali ya ndege ya Malaysia ya MH17. Jumla ya watu 298 walikuwemo ndani ya ndege hiyo wakati iliporipotiwa kutunguliwa katika eneo linaloshikiliwa na waasi la ukanda wa Donetsk siku ya Alhamis. Nchi za Magharibi zimekosoa vikwazo vinavyowekwa katika eneo ilipotokea ajali na kuitaka serikali ya Urusi kuweka shinikizo kwa serikali ya Ukraine kuruhusu kuingia katika eneo hilo.

Waangalizi wa kimataifa wanatarajia kutembelea eneo hilo tena hapo baadae.
Serikali zote Ukraine na Urusi zimetuhumiana kwa kuitungua ndege hiyo iliyokuwa ikiruka kutoka Amsterdam kwenda Kuala Lumpur.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top