Featured
Loading...

P Square Wampeleka Kaka Wa Michael Jackson Nigeria

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Michael Jackson alianza kuimba na kupata umaarufu akiwa na bendi ya Jackson 5 ambayo iliundwa pamoja na ndugu zake. Mmoja kati ya ndugu hao ni Jermaine Jackson ambaye hivi sasa yupo Nigeria kwa mualiko wa P Square.

Jarmaine anatarajiwa kufanya kazi pamoja na P Square kuandaa album yao ya sita ambayo itakuwa na wimbo kama Testimony na nyingine. Jermaine anatarajiwa kushiriki kwenye production hadi kuimba kwenye baadhi ya nyimbo za P Square ambazo zitakuwa kwenye hiyo album.

Peter wa P Square alipost picha wakiwa ndani ya Square Ville wakiongea na Jarmaine ambaye tayari ameshafika Nigeria. Album hiyo ya sita hadi sasa P Square wameshirikiana na wasanii mbalimbali akiwemo T.I


Credit: Millard

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top