Featured
Loading...

SHINDA MILIONI MOJA (1,000,000/=) KWA DIAMOND NA MDOGOMDOGO | #MdogoMdogoDance

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Nafkiri sasa ni wakati Muafaka!..Mi shida yangu ni Moja tu, nahitaji nipate style Maalum ya kucheza #Mdogomdogo .. iwe kutoka kwa Kundi au mtu yoyote kutoka nyumbani... Ukiwa unaamini unaweza kutoa style na ikatumika kama Mdogomdogo Dance tafadhari ntumie kuanzia sasa Kwenye namba hii +255652427989 au ipost kwenye Instagram yako kisha hash tag neno #MdogoMdogoDance nami nitairepost Hapa... Mwendo ni ule ule tu, Kikundi au Mtu atakaekuwa na Likes nyingi ndio tutaichukua Style yake na kuwa Official Dance style ya #MdogoMdogo .. Pia atapata Shilingi Milioni Moja Cash! na Kuwepo kwenye Video Mpyaaa ya Kucheza tu, iitwayo #Mdogomdogo_Instructional_Video pamoja na Team Nziiima ya Wasafi.....!!!! hii nimeipata kutoka Holland kwa @petitafricanmoves Waionaje..????

Kuona video hiyo BOFYA HAPA

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top