
Nyimbo hii mpya inaitwa ‘Wahaladee’ ambayo video yake imerasimishwa July 25, 2014 kwa Watanzania na wapenzi wote wa mziki wa Barnaba. Video hii imeongozwa na Nick Dizzle na kizuri zaidi video queen ni mke wa ndoa wa Barnaba (Mama Steven). Na video imefanywa Kenya na Tanzania.