Featured
Loading...

Miongoni Mwa Status Nzuri za WhatsApp... Zisome hapa


HIZI NI MIONGONI MWA STATUS ZA WHATSAPP; Hizi nimezitoa kwa miongoni mwa marafiki zangu na kuziandika hapa... Baadhi niliishia kucheka, pia kujifunza vitu vizuri.
  • Life is a teacher, the more we live , the more we learn.
  • Cool and Simple,
  • God shall fight for my battle
  • If you want to go fast go alone, if you want to go far, go together.
  • If you need sweet! Just say NO TO FGM
  • Thanks Lord
  • Usishangae uliyemsaidia akikutenga, uwepo wako karibu naye unamkumbusha dhiki zake
  • Ridhika na Kidogo ulichonacho, Usiwe kama siafu kung'ata kila unachokiona.
  • Mazoea wakati hujui naishije mjini sitaki bora pita hivi.
  • Tatizo nyota
  • You must run when they walk
  • Kwanini naota ndoto na sikuoti wewe..?
  • What Hurts you today make you stronger tomorrow.
  • End of thinking Capacity.
  • when i was BORN i was so surprised, I didn't talk for a year & a half.
  • I just want to die young as late as possible.
  • Never laugh at your wife's choices... you're one of them ...
  • Scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my status 
  • Do You Want To Go Out With Me? (A) Yes (B) A (C) B.
  • Mpende dem wako kama kahawa, kuitumia kabla haijapoa.
  • Sipendi somo la hesabu ila napenda hesabu pesa
  • Tabasamu la uonga lawezaficha mamilioni ya machozi.
  • Urembo wa mwanamke si kitu ikiwa roho yake mbaya.
  • Unaweza chochote lakini si kila kitu.
  • Nawaharibu maadui pindi niwafanyapo marafiki wa karibu
  • Better HALF FULL than FULL EMPTY
  • No pain no Gain
  • Bora Diamond idada ya mademu inafahamika kuliko wewe kila siku, kila grocery DEMU mpya.
  • Our marriage is like a workshop. I work and my wife shops. 
Tuambie ipi imekugusa na nzuri zaidi...
TUSHIRIKISHE KATIKA SEHEMU YA COMMENT ZIPI NI NZURI NITAZITOA KATIKA POST IJAYO
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

List ya Movie Kali za 2014.

Hapa nimeamua leo kukumbuka baadhi ya kiku muhimu kinachochukua umuhim mkubwa sana kwa baadhi ya wapenda filamu, Muvi humfanya mtu ajikute akiwa sawia pale ajikutapo hayupo sawa.... Zinaliwaza na kuburudisha sana kwa wapenda muvi wanajua.
Ziko nyingi sana zilizotoka mwaka jana na hizi ni baadhi tu

Hizi ni Miongoni tu mwa filamu nzuri zilizotoka mwaka wa 2014, tuambie umeangalia zipi kati ya hizo, zilizosahaulika hapo tuambie pia. Bila kusahau ipi ilikuvutia hadi kesho hutamani kuisahau?
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mixtape "STREET MINDED by STONE HOODSTAR" Coming Song, Don't Miss It



Muonekano wa Kava la 'STREET MINDED' 


Msaanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa njia ya mtandao wa internet StoneWaKitaa maarufu kama Mr.Promo au Meya Wa Mji
ametoa rasimi tamko lake kuhusu kazi zake kwa mwaka huu 2015amesema kuwa ule mfululizo wa kutoa mixtape kila mwaka unaendelea, na mwaka huu mixtape yake itakwenda kwa jina la "STREET MINDED Volume 2" yenye Nyimbo 12 , ikiwa ni mfululizo wa 'Series' ya mixtape zake alizo zipa jina la "STREET MINDED" , ikiwa inatarajiwa kutoka rasimi 24/6/2015
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Filamu ya The Interview Yatikisa Mitandaoni



Kampuni ya Sony Picutues inasema kuwa - the interview - ambayo ni filamu yenye utata ya dhihaka kuhusu njama ya kumuua kiongozi wa korea kasakzini Kim Jong un imekuwa yenye mafanikio zaidi mtandaoni.

Kampuni hiyo inasema kuwa filamu hiyo imenunuliwa na pia kukodishwa zaidi ya mara milioni mbili kwa muda wa siku nne tangu iwekwe kwenye mitandao.

Sony iliahirisha mpango wake wa filamu baada ya komputa za kampuni hiyo kudaiwa kuingiliwa na wadukuzi,huku Korea Kaskazini ikihusishwa katika udukuzi huo.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Rich Mavoko Kupiga Show "Siku ya Jamhuri" - Taveta Kenya.


Msanii huyu wa bongo flava "Rich Mavoko" akiungana na ma-dancer wake watafanya onesho la kukata na shoka pale Green Park Hotel iliyoko Taveta. Miongoni mwa vibao vitakavyoburudisha mashabiki ni Roho yangu, pacha wangu, Marry me, Follow follow na vingine vingi kwa KSH 300/= tu
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYONOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV


Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza show wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania,
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Usiku wa Q-Girl; Serengeti Fiest Super Diva 2014-Tabora


Full Quality

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

GOTHAM Tv Series [2014]


Gotham is an American crime television series developed by Bruno Heller, based on characters appearing in and published by DC Comics in their Batman franchise, primarily those of James Gordon and Bruce Wayne. The series stars Ben McKenzie as the young Gordon, while Heller executive produces along with Danny Cannon, who also directed the pilot. As originally conceived, the series would have served as a straightforward story of Gordon's early days on the Gotham City police force. The idea evolved not only to include the Bruce Wayne character, but also to tell the origin stories of several Batman villains. The first season order originally consisted of 16 episodes, but was later extended to a total of 22. Gotham premiered on FOX on September 22, 2014.






Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Tabora: Unaanzaje Kukosa Instagram Party?

Kwa mkazi ulioko Tabora Hii inakuhusu sana; kila kitu kinajieleza katika artwork hizo.
Waweza zikwanyua na ukashre na wenzako. Mmiliki wa mtandao huu atakuwepo kwa mapicha makali ya Insta na kila kitu. Ungana nami Instagra kwa Kubofya HAPA au @aloysonjr
UKINIONA TU SIKU HIYO WEWE WEKA POZI NITAKUFOTOA.


Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Usiku wa Producer wa My Number One, Sheddy Clever Wafana Tabora; Ally Nipishe, Doch, Sajna na Wengine Wasindikiza Usiku Huo

Producer wa vibao vingi vikali hapa Tanzania vikiwemo Msambinungwa, My No1 ya diamond na nyingine nyingi.
Usiku wa Sheddy Clever uliadhimishwa usiku wa Tarehe 8 Novemba mjini Tabora katika ukumbi wa Florida Pub huku akiongozwa na wasanii baadhi kama Doch, Ally Nipishe, Sajna, Hadlee na wengine. Producer huyu alitumia nafasi hiyo kuwashukuru watu wake wa Tabora kwa heshima kama nyumbani alikozaliwa kwa namna wanavyoshabikia uzuri wa kazi zake. Licha ya kushukuru aliwasihi pia vijana kuto kata tamaa katika kukamilisha malengo yao.
Mabokela, msanii wa kizazi kipya.




Hadlee
Doch
Ally Nipishe
Papaa Misifa (kushoto) na Ally Nipishe
Sajna



Sheddy Clever (kushoto) na Papaa Misifa mmoja ya waliofanikisha kufanyika kwa onesho hilo



Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
© Copyright Mahaba Live
Back To Top